Je, Serikali inaweza kunipa ruhusa nilime bangi 'FOR EXPORT ONLY'?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Habari za alasiri hii wadau?

Nimeona hii fursa, japo kilimo cha bangi ni haramu hapa kwetu, lakini naona kuna nchi nyingi sasa ikiwemo Israel, Jamaica, Argentina, Australia, Canada, Cambodia, Belgium, Costa Rica, Croatia, Marekani na nyinginezo nyingi wamehalalisha matumizi ya Bangi.

Nataka kuomba kibali serikalini iniruhusu nilime hili zao halafu niwalipe kodi yao kisha iwe for export only kwenda nchi husika tu.

Je wadau, nifanye nini ili niruhusiwe?

Nimeona hii ni fursa pekee ya kujiongezea kipato kwangu na kwa taifa kwa ujumla!

Naomba ushauri na njia kuntu za kuishawishi serikali hii ya Mh. Magu.

Karibuni sana!
 
Sasa mkuu....utawaaminishaje kwamba wanaopika hawataonja chumvi ktk chakula wanachopika kabla ya kupakua?! ...
 
Hamia nchi wanayoruhusu hiyo kitu ukalimie huko huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…