Je, Serikali/Viongozi wanahusika na utapeli huu wa Q-Net?

Je, Serikali/Viongozi wanahusika na utapeli huu wa Q-Net?

Whitesmith

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
387
Reaction score
517
Kuna hii kitu kinaitwa Q-Net, watu wanashawishiwa kuuza mashamba, kukopa kazini na kuacha ajira. Sasa hivi ofisi nyingi zipo Kimara. Najiuliza kuna mkono wa nyuma wa serikali kama njia mojawapo wakukusanya mapato?

Clips nyingi za uhamasishaji ni za Makonda na viongozi wa serikali, jamani usalama wa taifa hili uko wapi? Polisi wako wapi? Mbona wananchi wanaumizwa na utapeli huu kutokana na maarifa yao duni?
 
Back
Top Bottom