Je, shahawa hukuza umbo na kufanya ngozi kuwa laini na nyororo ?

Wazinzi buana,utawajua
 
Hao wanawake wa namna hiyo mnawapata wapi?

We jamaa unaubavu wa kutoa hiyo kitu ya kumtosha mlimbwende ajipake mwili wote?
atapaka kdg kdg mpaka zitatosha ila ataanza usoni
 
Sasa mbona mwanamke anayefanya mapenzi na wanaume wengi hudhoofika/hukongoroka. Chunguza machangudoa.
 
Sasa mbona mwanamke anayefanya mapenzi na wanaume wengi hudhoofika/hukongoroka. Chunguza machangudoa.
kila kitu kina utaratibu wake, wale wanafanya kwa ajili ya pesa tuu na weng wao hutumia dawa
 
Inabidi ajaze kikombe mkuu.

sijui atatumia muda gani kujaza kikombe, kijiko ndio kipimo kikubwa kabisa kwa mara moja, tena awamu hii ya tano huenda ikawa anatoa povu tu.
 
Sasa mtu akiwa bonge kama nanihii utamwaga shahawa ndoo ngapi mpk ajipake mwili mzima?
 
Side effects za kuangalia pono.
Ajipake kwanza mwenyewe, na aje kuthibitisha.
 
plz mods tafadhali huu uzi upelekeni jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…