Je shahidi anaweza kwenda mahakamani na kesi ikaendelea bila mimi mshtaki kuwepo?

Je shahidi anaweza kwenda mahakamani na kesi ikaendelea bila mimi mshtaki kuwepo?

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
642
Ni kesi ya madai
Mimi ndo mshtaki
wiki ijayo nilitakiwa kupeleka shahidi ila nimepata udhuru ila shahidi yupo tayari. Je anaweza kwenda peke yake?
Msaada tafadhari
 
Kwa kutumia akili ya kawaida tu, naona kama haiwezekani maana wewe ndo unamuongoza shahidi kutoa udhahidi. Sasa atasimamaje bila kuwepo?
 
Back
Top Bottom