Polisi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,082 Reaction score 642 Aug 24, 2013 #1 Ni kesi ya madai Mimi ndo mshtaki wiki ijayo nilitakiwa kupeleka shahidi ila nimepata udhuru ila shahidi yupo tayari. Je anaweza kwenda peke yake? Msaada tafadhari
Ni kesi ya madai Mimi ndo mshtaki wiki ijayo nilitakiwa kupeleka shahidi ila nimepata udhuru ila shahidi yupo tayari. Je anaweza kwenda peke yake? Msaada tafadhari
K Kisiwa Senior Member Joined Oct 18, 2010 Posts 125 Reaction score 20 Aug 25, 2013 #2 Kwa kutumia akili ya kawaida tu, naona kama haiwezekani maana wewe ndo unamuongoza shahidi kutoa udhahidi. Sasa atasimamaje bila kuwepo?
Kwa kutumia akili ya kawaida tu, naona kama haiwezekani maana wewe ndo unamuongoza shahidi kutoa udhahidi. Sasa atasimamaje bila kuwepo?