johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mtifuano wa kidini tena!!!johnthebaptist,
Just imagine. Huku Gwajiboy the porn star. Kule Alhaj Salum. Mtifuano utakuwa mtamu na mwisho utakuwa wa kidini.
Dawa yake ni ipi?
Wote hawatakiwi. Wabaki kwenye uongozi wa dini zao.
Swali zuri.Nauliza tu waungwana maana niko kwenye kujifunza.
Kwa mfano, shehe wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salum anaweza kugombea ubunge jimbo la Kawe?
Maendeleo hayana vyama!
Kuna video clip ya muda ambamo Gwajima anasema ana ndoto ya kugeuza Misikiti kuwa Sunday School.Mtifuano wa kidini tena!!!
Mtifuano kivipi?johnthebaptist,
Just imagine. Huku Gwajiboy the porn star. Kule Alhaj Salum. Mtifuano utakuwa mtamu na mwisho utakuwa wa kidini.
Dawa yake ni ipi?
Wote hawatakiwi. Wabaki kwenye uongozi wa dini zao.
Nauliza tu waungwana maana niko kwenye kujifunza.
Kwa mfano, shehe wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salum anaweza kugombea ubunge jimbo la Kawe?
Maendeleo hayana vyama!
Sifa ya kwanza uwe na tako kama bashiteHaya maswali mengine unauliza km mtoto Mkuu. Sifa za kugombea ubunge zipo wazi
Fuatilia mjadala wote. Ni hipotetical situation kama Salum atajitosa.Mtifuano kivipi?
Viongozi wa kiislamu hawana uroho kama viongozi wetu Sisi wakristo
Nimekuelewa bwashee!johnthebaptist,
Just imagine. Huku Gwajiboy the porn star. Kule Alhaj Salum. Mtifuano utakuwa mtamu na mwisho utakuwa wa kidini.
Dawa yake ni ipi?
Wote hawatakiwi. Wabaki kwenye uongozi wa dini zao.
Hichi kipengere huwa kinanifanya kufurahia nyuzi zako saaana mkuuMaendeleo hayana vyama
Kujua Kusoma na Kuandika!Haya maswali mengine unauliza km mtoto Mkuu. Sifa za kugombea ubunge zipo wazi
PatanogaNauliza tu waungwana maana niko kwenye kujifunza.
Kwa mfano, shehe wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salum anaweza kugombea ubunge jimbo la Kawe?
Maendeleo hayana vyama!