Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
😀😀😀😃😃😃😃😃😃😁😁Sherehe haziwezi kuwepo.
Sisi tujikamtie wanyonge wetu wasanii kuhakikisha mpaka 2030 hawapigi show wala comedyKulingana na taarifa za maandamano ya amani zilizopangwa kufanyika 9 december , je siku hiyo sherehe hizi zitafanyika kweli?
Tunajua vyombo vya usalama asilimia kubwa huwa vipo pale uwanja wa taifa kusherehekea sherehe hizi na maigizo yao ya kuvunja matofali kwa vichwa, hii inapelekea maeneo mengi kupelea hivyo inaleta urahisi kwa waandamanaji kuandamana watakavyo.
Sasa je , jamaa watavunja sherehe zao kukabiliana na waandamaji au wataendelea tu kama kawaida ila kwa uangalifu mkubwa au je wataazima jeshi la nchi jirani waje wawaangamize waandamanaji?
Nchi bado haijakaa stable mpaka sasa.
😀😀😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣Ukisikia kitumbua kimeingia mchanga ndio huku.... wataamua sasa waende wapi! Save the date
Wewe ndio kiongozi utasubutu kwenda uwanjani kuadhimisha sherehe za uhuru kwa situation ya sasa?Sherehe uwa azifanyiki barabarani kwaiyo ratiba hazitaingiliana, wenye kuandamana wao watakuwa barabarani kuendelea na shughulizao.
Swala la muda tu, tuwe watulivu tutajionea wenyewe kupitia TBC.Wewe ndio kiongozi utasubutu kwenda uwanjani kuadhimisha sherehe za uhuru kwa situation ya sasa?