Uko sahihiSherehe haziwezi kuwepo.
Mama Shuhuli sherehe ya moto Sana kaikimbiaHata ungekuwa wewe ungefanya?
Mama Dulah anapenda shuhuli ila hii ya moto.
Afe ili iweje?. Aendelee kuishi,ikiwezekana milele!Mtamuua kwa presha, mpumzisheni Mama π
Hawa Gen-Z hizi siku wanazotangaza za maandamano ziko kimkakati sana MO29 na D9πππππππ
ila Gen Z wamejua kuisisimua Tanganyika!
Kwahiyo wamegwaya kuadhimisha sherehe?
πππππππ
ila Gen Z wamejua kuisisimua Tanganyika!
Kwahiyo wamegwaya kuadhimisha sherehe?