Je.sheria ina semaje kuhusu hili?

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
913
Reaction score
582
Nime ishina mwana mke kwa muda wa miezi kuminambili bahati nzuri mwanamke kanikuta nime nunua kiwanja na nika anza kujenga nyumba mpaka kwenye renta na baadaye tuka malizia wote ndani ya mwaka 1 huohuo.je tutakapo achana MWANAMKE anahaki katika ilenyumba ikiwa hatimiliki ni za mume?
Nikifungukipi chasheri kita msaidia mwana mke kugawiwa sehemu ya nyumba hiyo au kukosa ,huku ukizingatia hatukuwahi kuzaa naye?
 
Umeishi nae tu bila ndoa? If yes! Hajaqualify kuwa mke dhania chn ya kifungu cha 160 cha sheria ya ndoa! Upande wa mali kama kuna ngv yake basi mtaenda pasu au atapewa kiasi alichochangia, kesi ya BI HAWA MOHAMED
 
Umeishi nae tu bila ndoa? If yes! Hajaqualify kuwa mke dhania chn ya kifungu cha 160 cha sheria ya ndoa! Upande wa mali kama kuna ngv yake basi mtaenda pasu au atapewa kiasi alichochangia, kesi ya BI HAWA MOHAMED

akiwa amekaa muda mrefu mahakama itaassume kuna ndoa bt watagawana vile walivochuma wote tu, kama alivikuta hatoweza kupata.
 
Cohabitation lead to pre-assumption of marriage!
Hapo kisheria ina hesabiika kama ni ndoa maana umeishi na mwanamke kwa muda mrefu!

Kwa swala la mali lazima mtagwwana maana na yeye ana mchango wake hapo! Lakini angekuwa hajachangia kitu basi kungekuwa hakuna mgao!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…