Habari natumaini wote wazima wana JF. Nilikuwa nataka nipate ushauri kwanza kabla sijafanya Nina gari ambayo body lake limechoka la rangi nyekundu sasa nimepata la rangi ya nyeusi nataka kuvalisha wakati blue card inasoma nyekundu
SWALI JE Kuna liability zozote naweza pata