Je, Sheria inasemaje kuhusu kutoka na mke au mume wa mtu?

Je, Sheria inasemaje kuhusu kutoka na mke au mume wa mtu?

Kwani tupu ya mkeo/ mumeo ni yako? Si iko mwilini mwake, kaamua mwenyewe kumpa mwingine aifanye.
Hapo kesi za nini kama huwezi kuvumilia unamuacha na maisha yake.
 
Mkuu kimekupata nini usikute jamaa alie mkula ni njemba unaona bora ukamshtaki maana ngumi uwez tupa
 
Sheria haisemi chochote ingawa kutembea na mke/mume wa mtu kunaweza kuchangia kupelekea kutokea kwa jinai ikiwepo mauaji, visasi, kufanyiwa uhalifu wa kimwili n.k
 

Attachments

  • Screenshot_20240815-215845.jpg
    Screenshot_20240815-215845.jpg
    702.9 KB · Views: 9
Shida sio sheria za makaratasi, sheria za mkononi ndio mbaya zaidi hasa kwenye issue ya mke wa mtu.
 
Sheria itamwachia huru muuaji kwa kigezo kwamba alishindwa kujizuia baada ya kumfumania live mkewe akiliwa.
 
Back
Top Bottom