Wataalamu wa sheria naombeni muongozo wenu, maana tumeshapoteza imani na Bunge, Jeshi la polisi pamoja na mwenendo wa mahakama juu ya masuala mbalimbali. Je raia wenye nia njema wakiamua kujiundia tume huru ya kuchunguza suala la Dr. Ulimboka, itakuwa ni kosa kisheria?