Je sheria inasemaje kwa suala la kustaafisha?

baina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
219
Reaction score
59
Habari za kazi wanasheria WA HUMU JF

Shida yangu ni je, katika sheria za kazi kuna kipengere kinachomruhusu mwajiri hawastaafishe wafanyakazi walioko katika mkataba wa kudumu na hawaingize katika mkataba wa muda maalumu e.g miaka mitatu? na je ni haki kukatisha mkataba wa kudumu wa mfanyakazi? na kama ni haki je mfanyakazi anastahili nini kabla ya kuingizwa katika mkataba wa muda maalum? na je, ikiwa mwajiri atafanya hivyo na huku sheria ikiwa haimuruhusu,si atakuwa amevunja sheria za kazi na sheria ya mikataba ya mwaka 2002? ( law of contracts, section ya breach of contract?) wanasheria naomba msaada wa haraka katika suala hili na mengineyo yanayohusiana na mikataba ya ajira. Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…