Je, sheria inasemaje unapopingwa picha na mwajiri wako bila idhini yako na picha kurushwa kwenye mtandao?

Je, sheria inasemaje unapopingwa picha na mwajiri wako bila idhini yako na picha kurushwa kwenye mtandao?

Joined
Sep 13, 2018
Posts
8
Reaction score
1
Natanguluza shukrani je sheria zipoje pale unapopingwa picha na mwajiri wako bila idhini yako na picha kurushwa kwenye mtandao wa whatssap na zingine kubandikwa kwenye ubao wa matangazo zikionyesha umesinzia nyakati za usiku. Je kama umefanyiwa ivi unaweza chukua hatua zip?
 
Umesinzia ukiwa wapi, kwako , kazini au wapi. Na tangazo lilikua linahusu nini ? Jaribu kuufanya Uzi wako ueleweke
 
Ukiwa kwenye Public space, hakuna haja ya Idhini.
Ofisini, unless kuwe na policy ya kutopiga picha bila idhini.
Kwako, hupigwi picha bila idhini yako.
Kwa mtu mwingine, hahitaji idhini yako.
 
Back
Top Bottom