Natanguluza shukrani je sheria zipoje pale unapopingwa picha na mwajiri wako bila idhini yako na picha kurushwa kwenye mtandao wa whatssap na zingine kubandikwa kwenye ubao wa matangazo zikionyesha umesinzia nyakati za usiku. Je kama umefanyiwa ivi unaweza chukua hatua zip?
Ukiwa kwenye Public space, hakuna haja ya Idhini.
Ofisini, unless kuwe na policy ya kutopiga picha bila idhini.
Kwako, hupigwi picha bila idhini yako.
Kwa mtu mwingine, hahitaji idhini yako.