Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Je, sheria ya Makosa ya mtandaoni(Cybercrime Act) inasemaje kuhusu kutumia jina ambalo sio lako katika akaunti za Mitandaoni?
Je, kama inakataza vipi kuhusu sisi WanaJF tunaotumia majina ambayo sio yetu?!
Je, kama inakataza vipi kuhusu sisi WanaJF tunaotumia majina ambayo sio yetu?!