Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,113 Reaction score 4,658 Mar 4, 2017 #1 Je, sheria ya Makosa ya mtandaoni(Cybercrime Act) inasemaje kuhusu kutumia jina ambalo sio lako katika akaunti za Mitandaoni? Je, kama inakataza vipi kuhusu sisi WanaJF tunaotumia majina ambayo sio yetu?!
Je, sheria ya Makosa ya mtandaoni(Cybercrime Act) inasemaje kuhusu kutumia jina ambalo sio lako katika akaunti za Mitandaoni? Je, kama inakataza vipi kuhusu sisi WanaJF tunaotumia majina ambayo sio yetu?!
V vampire_hunter007 JF-Expert Member Joined Jul 25, 2015 Posts 1,034 Reaction score 2,624 Mar 4, 2017 #2 Wewe na nani mnatumia majina sio yenu?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Mar 4, 2017 #3 Sio kila kitu tumuulize Tundu Lissu vingine kajisomee MWENYEWE
kinumi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 1,027 Reaction score 746 Mar 4, 2017 #4 Kawaida tu kama Bashite