Je, sheria ya takwimu inambana mwananchi kutoa taarifa kwa karani?

Je, sheria ya takwimu inambana mwananchi kutoa taarifa kwa karani?

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
Naona kuna zengwe jingi na mikwara kibao, baina ya watawala na kundi fulani la kijamii kuhusu kuhesabiwa na kutohesabiwa.
Naombeni ufafanuzi wadau, kuhusu sheria ya takwimu ya mwaka 2002, kama imetamka adhabu yoyote kwa mtu atakaegoma kutoa taarifa zake kwa karani wa sensa.
 
Back
Top Bottom