Je sheria zinazobana maslai na haki ya watanzania zimefutwa au kufanyiwa marekebisho?

Je sheria zinazobana maslai na haki ya watanzania zimefutwa au kufanyiwa marekebisho?

ffoas

Member
Joined
Feb 23, 2011
Posts
34
Reaction score
5
Ni wazi bunge letu tukufu tulilolipa dhamana yakutuwakilisha linafanya kazi nzuri,lakini je imesimamia,inasimamia sheria zinazobana haki na maslai ya watanzania, kwa njia ya marekebisho ya vifungu au kufutwa?
 
Back
Top Bottom