ffoas Member Joined Feb 23, 2011 Posts 34 Reaction score 5 Mar 3, 2011 #1 Ni wazi bunge letu tukufu tulilolipa dhamana yakutuwakilisha linafanya kazi nzuri,lakini je imesimamia,inasimamia sheria zinazobana haki na maslai ya watanzania, kwa njia ya marekebisho ya vifungu au kufutwa?
Ni wazi bunge letu tukufu tulilolipa dhamana yakutuwakilisha linafanya kazi nzuri,lakini je imesimamia,inasimamia sheria zinazobana haki na maslai ya watanzania, kwa njia ya marekebisho ya vifungu au kufutwa?