Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Mental case kwa nani, Jakaya mwenyewe ama wananchi?Kitu gani kilimpata Jakaya yule na huyu wa leo; kama sio mental case.
Mimba ya chuki inakusumbua!!?.. wakati wa magu kupoteza watu muhusika alikua nani,mkapa au kikwete!?Wakati ‘Jakaya Kikwete’ raisi wa Tanzania.
Simulizi
Kipindi ambacho mtoto wake Ridhiwani alisha ukwaa ubunge na hakumpa uwaziri; japo angeweza fanya hivyo angetaka bila ya pingamizi.
Kwakuwa JK ni kada wa kulelewa na chama alijua usotaji wa kuwa waziri upewi tu.
Lingine
Kuna interview moja ya Ridhiwani akiwa mmbunge kipindi cha Magufuli. Aliwahi ulizwa:
Mtangazaji: ulikuwa unajisikiaje baba yako alivyokuwa anatukwana akiwa raisi.
Ridhiwani: ukweli nilielewa ni sehemu ya nafasi yake. Kwa sababu nimekuwa akiwa mwanasiasa. Iła alipokuwa raisi kuna matusi yalikuwa yananikera.
Ridhiwani: kuna siku baba akiwa raisi nikamtolea uvivu nikamwambia hawa watu mbona wanakutukana sana upo kimya. Hata kama wewe hujali mimi inaniumiza.
Jakaya Kikwete; Mwanangu mimi baba yako ndio raisi wa nchi, hujui madaraka makubwa niliyo nayo, nikisema niyatumie hakuna wakunitukana.
☝️Kitu gani kilimpata Jakaya yule na huyu wa leo; kama sio mental case.
Kitendawili?
What happened to this reasonable person.
Mimi naamini ni mental issues, aina maana nipo sahihi.
Inashangaza kwa Sababu ubunge wa Ridhwani, mmbunge aliekuwepo alifariki.Upinzani wakati wa JK haukuonekana kutishia kuchukua kiti chake au kuwa na majority bungeni, pia CCM ya wakati huo ilikuwa moja iliyoshikamana tofauti na kuanzia 2015-
Soma main post kwanzaMental case kwa nani, Jakaya mwenyewe ama wananchi?
Hujaeleweka mleta mada.
Jakaya wa leo kafanyaje?Inashangaza kwa Sababu ubunge wa Ridhwani, mmbunge aliekuwepo alifariki.
Ridhiwani alipotaka kugombea. Japo JK alikuwa raisi kipindi hiko, akuingilia ule mchakato kabisa wa kumpata mmbunge mpya.
Ridhiwani alipambana mwenyewe kwenye kura za maoni na alishinda kwa kura chache sana.
Na Jakaya, hakumpa Ridhiwani hata uwaziri kwa sababu aliamini nafasi za serikali ni merit.
Huyu Jakaya wa leo ni yupi ni yule-yule au kuna mental issues.
Njaa soma main post kwanza uelewe kabla ya kuandika upuuzi wako.Mimba ya chuki inakusumbua!!?.. wakati wa magu kupoteza watu muhusika alikua nani,mkapa au kikwete!?
Uliza watu kwa msingi wa hoja walizoibua, sio upuuzi kutoka kichwani kwako.Jakaya wa leo kafanyaje?
Huna lolote,chuki za kijingaNjaa soma main post kwanza uelewe kabla ya kuandika upuuzi wako.
Wewe unaamini Ridhiwan alishinda kwa ubavu wake mwenyewe?Ridhiwani alipotaka kugombea. Japo JK alikuwa raisi kipindi hiko, akuingilia ule mchakato kabisa wa kumpata mmbunge mpya.
Ushungi wa Samia unawawasha kama ilivyo baraghadhia ya jakayaUliza waty kwa msingi wa hoja walizoibua, sio upuuzi kutoka kichwani kwako.
Ain’t no interested in your nonsense.
Jamaa alikuwa na HIV au kisukari not sure exactly which is which. Ila alikuwa na ugonjwa wa muda mrefu. Kifo chake hakukuwa na mkono wa JK.Wewe unaamini Ridhiwan alishinda kwa ubavu wake mwenyewe?
Tuanzie kwenye kifo cha mbunge aliyekuwepo kwanza. Unajua kilichomuua? JK hajaanza leo usnitch.
Huwa ndiyo tabia yake ya kufanya maovu lkn mwenyewe anakuwa kakaa pembeni kama vile hahusiki.
Tishio kubwa la CCM kuondolewa madarakani na upinzani lilianza mwishoni mwa utawala wa JK, hata Lowassa kukatwa ndani ya CCM kimizengwe na JK pasipo kufuata utaratibu wa demokrasia ndani ya CCM pamoja na mambo mengine ilitokana na hofu kubwa kwamba uchaguzi ungekuwa mgumu sana kipindi hicho endapo Lowassa angesimamishwa kama mgombea, Jiwe alipoingia alilazimisha CCM iendelee kukubalika kupitia mkono wa chuma, propaganda za media pamoja na miradi mikubwa hata hivyo demokrasia ndani ya chama ilizidi kuzorota na kwa sababu mwenyekiti wa CCM ni rais wa nchi mwenye mamlaka ya kifalme kumpinga au kumkosoa ni vigumu hivyo JK ilibidi kuendana na mdundo tu tangu wakati huo imekuwa ni slipery slope to hell.Inashangaza kwa Sababu ubunge wa Ridhwani, mmbunge aliekuwepo alifariki.
Ridhiwani alipotaka kugombea. Japo JK alikuwa raisi kipindi hiko, akuingilia ule mchakato kabisa wa kumpata mmbunge mpya.
Ridhiwani alipambana mwenyewe kwenye kura za maoni na alishinda kwa kura chache sana.
Na Jakaya, hakumpa Ridhiwani hata uwaziri kwa sababu aliamini nafasi za serikali ni merit.
Huyu Jakaya wa leo ni yupi ni yule-yule au kuna mental issues.
Peleka utoto wako kwenye mada nyingine, kama ujasoma topic.Ushungi wa Samia unawawasha kama ilivyo baraghadhia ya jakaya
Ignore chap you phuckerPeleka utoto wako kwenye mada nyingine, kama ujasoma topic.
Najibu hoja za mada or if you want to defend my points.
Vinginevyo ujinga kutoka kichwani kwako unaenda kwenye ignore list.
SimzungumziimJakaya wa 2015 na kwenda mbele.Tishio kubwa la CCM kuondolewa madarakani na upinzani lilianza mwishoni mwa utawala wa JK, hata Lowassa kukatwa ndani ya CCM kimizengwe na JK pasipo kufuata utaratibu wa demokrasia ndani ya CCM pamoja na mambo mengine ilitokana na hofu kubwa kwamba uchaguzi ungekuwa mgumu sana kipindi hicho endapo Lowassa angesimamishwa kama mgombea, Jiwe alipoingia alilazimisha CCM iendelee kukubalika kupitia mkono wa chuma na miradi mikubwa hata hivyo demokrasia ndani ya chama ilizidi kuzorota na kwa sababu mwenyekiti wa CCM ni rais wa nchi mwenye mamlaka ya kifalme kumpinga au kumkosoa ni vigumu hivyo JK ilibidi kuendana na mdundo tu tangu wakati huo imekuwa ni slipery slope to hell.