Nimekueleza hapo kwa nini Jakaya wa 1995 mpaka 2015 alikuwa vile wakati huo, pia wewe unamshangaa Jakaya wa 1995-2015 kwa sababu umemuona ni tofauti kabisa na wa 2015- kwa hiyo huwezi kumuelewa vizuri JK wa wakati huo bila kuelewa mazingira ya nyakati zote mbili. Ukweli mchungu ambao timu jiwe hamtaki kuukubali ni kwamba JPM ni muhusika muhimu kutufikisha hapa tulpofika sasa, kwa mazuri mengi ya kujenga miondombinu, resource nationalism na mabaya mengi ya kuharibu demokrasia, bunge, mahakama na media.Simzungumzij Jakaya wa 2015 na kwenda mbele.
Namzungumzia yule aliekuwa raisi 2005 mpaka 2015, mwenye hekima, uvumilivu na maslahi mapana ya CCM.
Yule sio huyu Waldo kabisa mwenye tamaa, nini kimempata.
Nimekueleza hapo kwa nini Jakaya wa 1995 mpaka 2015 alikuwa vile wakati huo, pia wewe unamshangaa Jakaya wa 1995-2015 kwa sababu umemuona ni tofauti kabisa na wa 2015- kwa hiyo huwezi kumuelewa vizuri JK wa wakati huo bila kuelewa mazingira ya nyakati zote mbili. Ukweli mchungu ambao timu jiwe hamtaki kuukbali ni kwamba JPM ni muhusika muhimu kutufikisha hapa tulpofika sasa, kwa mazuri mengi ya kujenga miondombinu na mabaya mengi ya kuharibu demokrasia, bunge, mahakama na media.
Hawasomagi wakaelewa kwa sababu ya backward mindset na utumwa wa imaniPeleka utoto wako kwenye mada nyingine, kama ujasoma topic.
Najibu hoja za mada or if you want to defend my points.
Vinginevyo ujinga kutoka kichwani kwako unaenda kwenye ignore list.
Kichaa chake hakijaanza for whataver reaons, zipo sababu mahususi na kama una akili na sio mnafiki utaelewa.
View: https://m.youtube.com/watch?v=77HKhL3WSjw&pp=ygUTamFrYXlhIGtpa3dldGUgMTk5NQ%3D%3D
Jakaya alianza kupendwa hapo, kwa kuwa charismatic leader. Baada ya kushindwa na Mkapa chama kwanza.
Hapo ni baada ya kushindwa 1995 na Mkapa. Na hata uraisi wake alikuwa very humble.
Kichaa chake kimeanza baada 2015 for whatever reasons.
Wanakera na utoto wao mpaka karaa.Hawasomagi wakaelewa kwa sababu ya backward mindset na utumwa wa imani
Sikatai tuna shida kama jamii either kutokana na structure issues (systematic, kama vile kumpa huyu kichaa Samia rungu).Kichaa chake hakijaanza for whataver reaons, zipo sababu mahususi na kama una akili na sio mnafiki utaelewa.
Tatizo mojawapo kubwa la Tanzania kushindwa kubadili mambo ni kutokuwa wakweli na wawazi kwa sababu au vyanzo vya matatizo yetu, ni kama sasa hivyo ambavyo tunataka kuaminishwa chanzo cha matitizo yetu ni wageni kutoka nje badala ya kuukubali ukweli kwamba sisi wenyewe tuna shida kubwa na za misngi za muda mrefu ndani ambazo hata kujadiliwa tu kwa sasa imekuwa ni uhaini.
Jakaya yupo, ndio mwenye na ndio nauliza sanity yake leo, kwa muktadha wa siasa.Mental health disorder wanayo wananchi, kipindi cha Jakaya walisema wamemkumbuka mkapa. ilipofika zamu ya Magufuli walikua wanamuita dikteta huku wakisema wamemkumbuka Jakaya, kipindi cha Huyo Mama yenu sahivi mnasema bora Magufuli
Probably, but was the trigger?Magufuli ndo aliyembadilisha JK ova
Nimekusoma sanaKichaa chake hakijaanza for whataver reaons, zipo sababu mahususi na kama una akili na sio mnafiki utaelewa.
Tatizo mojawapo kubwa la Tanzania kushindwa kubadili mambo ni kutokuwa wakweli na wawazi kwa vyanzo vya matatizo yetu, ni kama sasa hivyo ambavyo tunataka kuaminishwa chanzo cha matiatizo yetu ni wageni kutoka nje badala ya kuukubali ukweli kwamba sisi wenyewe tuna shida kubwa, za misngi na za muda mrefu ndani ambazo hata kujadiliwa tu kwa sasa imekuwa ni uhaini.
JPM anafanywa scapegoat kwa uhuni wa JK ..Magufuli ndo aliyembadilisha JK ova
JPM akua mwizi na alikuja kufumbua watu wengi kwamba hii Nchi ina pesa tatizo wizi kuna mambo yanaweza kufanyika Mfano kulipa wafanyakazi hewa ni pesa ngapi unaokoa kuondoa watu wenye vyeti feki na kueheshimisha kama cheti feki anapata kazi Elimu itaheshimika watu wataona kusoma hakuna maana vyeti vinapatikana unatengeza Taifa la namna gani? Kiufupi Magu alitaka ufanye kazi halali upate pesa kwa hiyo alimgusa JK sanaUpinzani wakati wa JK haukuonekana kutishia kuchukua kiti chake au kuwa na majority bungeni, CCM ya wakati huo ilikuwa moja iliyoshikamana tofauti na kuanzia 2015-, Pia Demokrasia ndani ya CCM iliharibika kabisa wakati wa jiwe kwa hiyo imekuwa ni muendelezo(slipery slope) ndani ya chama na nje ya chama ikileta athari na maafa kwenye nchi nzima.
Jambo lingine ni jiwe kumuweka JK na kundi lake mbali hivyo JK kwa kujua nguvu ya urais wa Tanzania akawa hana namna ila kumuunga mkono jiwe japo kwa shingo upande, kuondoka kwa jiwe na kuweza kuwa na mtu wake kitini imekuwa fursa ya kufidia miaka 5 ya yeye na kundi lake kupoteza maslahi makubwa ya kiuchumi wakati wa jiwe na kurudisha mambo kuwa business as usual, bahati mbaya ukuaji wa social media, demographic changes(kundi kubwa la vijana tena wasio na ajira za kueleweka kuongezeka) na mwamko mkubwa wa kisiasa haviko upande wao kuwasaidia. Hapo pia kuna kundi kubwa la wafuasi wa jiwe kama Polepole ambao nao wanataka mambo yarudi kama yalivyokuwa wakati wa JPM.
Kuna mahali nimesema anayofanya JK kwa sasa ni mazuri?? Mimi nimeeleza tu kwa nini wakati huo wa kabla ya 2015 alikuwa hivyo na sasa yuko hivi alivyo. Sikupenda utawala waJK uliojaa rushwa na utendaji kazi legelege wa wa wakati wa JK bali nilipenda yeye alivyoachia angalau uwanja mpana wa demokrasia bungeni, kwenye media na mahakama(hata hivyo nafahamu pia upinzani wa 2005 na 2010 haukuwa na nguvu kubwa kiasi cha kutishia urais wake na bunge la chama chake kwa hiyo huenda ni sababu mojawapo hatakuweza kuiona sura yake halisi pia). Sikuukubali sana utawala wa jiwe kwa sababu mimi kwangu ujenzi wa miondombinu sio kipaumbele kikubwa zaidi mbele ya demokrasia na approach inayatomukia. Siamini miondombinu iliyojengwa na Hitler Ujerumani au Makaburu Africa Kusini ilikuwa ni gharama sahihi ya mateso kwa binadamu wengine, siamini miondombinu iliyojengwa Ethiopia wakati wa Zenawi ilihalilisha gharama kubwa ya mateso makubwa kwa binadamu wasio na hati.Nimekusoma sana
Naona kitu kimoja
Wewe una chuki upande mmoja ndio maana unayaona ya jiwe tu na hutoi kwanini jiwe alifanya hayo
Ila kwa kikwete unasema alifanya uhuni sababu kuna motive iliyopelekea hivyo
Upo biased sana
Jk si ndio alimpendekeza magufuli? Kama kweli hakumuamini kwanini alimteua kuwa waziri wa ujenzi awamu zake zote mbili??
Wote hao wawili walikuwa na changamoto zao back then kikwete hakuwa mtu huyu wa leo sasa sijui unamtetea nini?
Ikiwa wote hao ni mbegu ya chama cha CCM?? Wana tofauti gani?
Jk= anauma huku anapuliza
Jpm= hana unafki alifanya wazi waxi iwe baya au zuri alifanya wazi
Tofauti yao nini??
Ulisema kuna sababu maalumu iliyomfanya afanye hayo na mimi nimekwambia wazi kuwa ulisema kuna motives nyuma yake.Kuna mahali nimesema anayofanya JK kwa sasa ni mazuri??
So mkuuSikupenda utawala waJK uliojaa rushwa na utendaji kazi legelege wa wa wakati wa JK bali nilipenda yeye alivyoachia angalau uwanja mpana wa demokrasia
Na huu ndio ukweli halisi uliosema JK aliona upepo mapema akaona inatosha na kuwapa mzigo wengine ambao aliupanda mwenyewe kwa mikono yake kwani JPM alipoingia madudu mangapi aliyakuta?? JK anatakiwa kulaumiwa kwa kutufikisha hapa hata iwejehata hivyo nafahamu pia upinzani wa 2005 na 2010 haukuwa na nguvu kubwa kiasi cha kutishia urais wake na bunge la chama chake kwa hiyo huenda ni sababu mojawapo hatakuweza kuiona sura yake halisi pia)
Huenda upo sawa mkuu lakini let me say thisSikuukubali sana utawala wa jiwe kwa sababu mimi kwangu ujenzi wa miondombinu sio kipaumbele kikubwa zaidi mbele ya demokrasia na approach inayatomukia. Siamini miondombinu iliyojengwa na Hitler Ujerumani au Makaburu Africa Kusini ilikuwa ni gharama sahihi ya mateso kwa binadamu wengine, siamini miondombinu iliyojengwa Ethiopia wakati wa Zenawi ilihalilisha gharama kubwa ya mateso makubwa kwa binadamu wasio na hati.
Ndo point yaku JK kipindi ni Rais yeye ndo alikua kila kitu hata deal anapiga kubwa Magu akaja akakata mirija ya ulaji ndo JK kabadilika kawa mbogaJPM anafanywa scapegoat kwa uhuni wa JK ..
Eleza alimbadilisha vipi?
Kama sio yale yale ya tamaa ya madaraka?
JPM alimuweka kikwete kando kabisa kwanini huyo JK asiumie?
Alivyofanya SSH sasa ndio JK aliyokuwa anataka background remote ndio huyu mzee anapenda kama hivi .
Ana tofauti gani na wahuni wengine?
Ndio mkuuNdo point yaku JK kipindi ni Rais yeye ndo alikua kila kitu hata deal anapiga kubwa Magu akaja akakata mirija ya ulaji ndo JK kabadilika kawa mboga
Hakuna lolote hapoKwa lugha nyingine siamini Jakaya Kikwete wa uraisi wake, angeweza piga raia wasio na silaha kama ilivyofanyika
Wakati Jakaya huyo huyo leo ni kama kasahau values zake, aoni shida raia wasio na silaha kuuliwa mchana kweupe na mengineo mengi yanayofanyika kuidhoofisha CCM aliyoapa kuilinda
Nini kimebadilika nothing, but mental issues.