Je, shirika la ATCL linatoka Shimoni kwenda gizani?

Bado tunajitanua kwenda nchi mbalimbali Faida itakuja kidogokidogo lakini faida kwa sasa hivi ni watu kuja moja Kwa moja kutoka nchi ambazo shirika linafika.pia shirika linasaidia utangazaji wa nchi.
 
Kwa hivyo wakati ATCL haikuwepo watalii hawakuwa wanakuja Tanzania?
 
2736883_1949282.jpg
 
Kuna sabotage humo ni swala la muda utaniambia
 
Uwekezaji wa ndege ni kama kubahatisha,serikali ijaribu kufungamanisha hizi ndege na sekta zakiuchumi ili zilete tija inayotazamiwa...
Sio jambo baya Kua na ndege lakini wasilale maana hiyo ni biashara pasua kichwa
 
Bora tuwekeze kwenye usafiri wa majini kuliko angani,watu wengi wa hali ya chini wanautegemea huo
 
Back
Top Bottom