NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Bado tunajitanua kwenda nchi mbalimbali Faida itakuja kidogokidogo lakini faida kwa sasa hivi ni watu kuja moja Kwa moja kutoka nchi ambazo shirika linafika.pia shirika linasaidia utangazaji wa nchi.Je, Shirika la ndege Tanzania linatoka Shimoni kwenda gizani? - BBC News Swahili
Serikali ya Tanzania imeendelea kuagiza ndege za aina mbalimbali zikiwemo zingine nne mpya licha ya Shirika lake la ndege (ATCL) kutengeneza hasara ya mamilioni ya dola katika kipindi cha miaka mitano mpaka kumi mfululizo.www.bbc.com
Kwa hivyo wakati ATCL haikuwepo watalii hawakuwa wanakuja Tanzania?Bado tunajitanua kwenda nchi mbalimbali Faida itakuja kidogokidogo lakini faida kwa sasa hivi ni watu kuja moja Kwa moja kutoka nchi ambazo shirika linafika.pia shirika linasaidia utangazaji wa nchi.
Kweli kabisa, lazima manyang'au yatakuwa yanatuhujumu, sio bure.Kuna sabotage humo ni swala la muda utaniambia
Uwekezaji wa ndege ni kama kubahatisha,serikali ijaribu kufungamanisha hizi ndege na sekta zakiuchumi ili zilete tija inayotazamiwa...Je, Shirika la ndege Tanzania linatoka Shimoni kwenda gizani? - BBC News Swahili
Serikali ya Tanzania imeendelea kuagiza ndege za aina mbalimbali zikiwemo zingine nne mpya licha ya Shirika lake la ndege (ATCL) kutengeneza hasara ya mamilioni ya dola katika kipindi cha miaka mitano mpaka kumi mfululizo.www.bbc.com
Bora tuwekeze kwenye usafiri wa majini kuliko angani,watu wengi wa hali ya chini wanautegemea huoUwekezaji wa ndege ni kama kubahatisha,serikali ijaribu kufungamanisha hizi ndege na sekta zakiuchumi ili zilete tija inayotazamiwa...
Sio jambo baya Kua na ndege lakini wasilale maana hiyo ni biashara pasua kichwa
KENYA AIRWAYS net loss for 2021 narrows to Sh15.87 billion, a 45 percent drop from previous year.Je, Shirika la ndege Tanzania linatoka Shimoni kwenda gizani? - BBC News Swahili
Serikali ya Tanzania imeendelea kuagiza ndege za aina mbalimbali zikiwemo zingine nne mpya licha ya Shirika lake la ndege (ATCL) kutengeneza hasara ya mamilioni ya dola katika kipindi cha miaka mitano mpaka kumi mfululizo.www.bbc.com
Hapo nyang'au wanaona hiyo ni faida.KENYA AIRWAYS net loss for 2021 narrows to Sh15.87 billion, a 45 percent drop from previous year.