Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huduma hii inatolewa kwa njia ipi na nani anajukumu la kugharamikia huduma hii?. Unaona ni sawa kwa wananchi kulipia 27,000 kuunganishiwa umeme wakati gharama halisi ni 800,000?. Hii ni huduma au tunalipia kwa njia isiyo ya moja kwa moja?TANESCO, RELI, TBC nk sio MaShirika ya kujiendesha kibiashara Mkuu bali yamelenga kutoa huduma kwa Umma na hivyo yanategemea ruzuku ya Serikali kujiendesha kwa kiasi fulani
Kwani MSD anapokuuuzia Panado 30 kwa Sh.500/= wakati gharama halisi ni sh.2,000/= hii ni huduma au tunalipia kwa njia isiyo ya moja kwa moja? The same kwa Mbolea nk nkHuduma hii inatolewa kwa njia ipi na nani anajukumu la kugharamikia huduma hii?. Unaona ni sawa kwa wananchi kulipia 27,000 kuunganishiwa umeme wakati gharama halisi ni 800,000?. Hii ni huduma au tunalipia kwa njia isiyo ya moja kwa moja?
Ninacho jaribu kusema ni kwamba ili shirika hili liweze kuwa saidia watanzania hata kwa muda wa miaka ishirini ijayo lazima liweze kujiendesha. Likiweza kujiendesha wananchi watazidi kunufaika kwa muda mrefu. Ni nia njema kusema kwamba shirika linatoa huduma kwa wananchi lakini tofauti ya 27,000 na 800,000 ni kubwa mno. Kodi za wananchi bado zitakuwa zina lipia tofauti hiyoKwani MSD anapokuuuzia Panado 30 kwa Sh.500/= wakati gharama halisi ni sh.2,000/= hii ni huduma au tunalipia kwa njia isiyo ya moja kwa moja? The same kwa Mbolea nk nk
Hicho kinachozidi serikali imekilipia kwa jina la RUZUKU ili nyinyi wananchi msishindwe kupata hizo mkuuu.
Hivyo hata SGR,ATCL navyo haviendeshwi kibiashara?TANESCO, RELI, TBC nk sio MaShirika ya kujiendesha kibiashara Mkuu bali yamelenga kutoa huduma kwa Umma na hivyo yanategemea ruzuku ya Serikali kujiendesha kwa kiasi fulani
Huduma uuzwa na kutengeneza faida pia !TANESCO, RELI, TBC nk sio MaShirika ya kujiendesha kibiashara Mkuu bali yamelenga kutoa huduma kwa Umma na hivyo yanategemea ruzuku ya Serikali kujiendesha kwa kiasi fulani