Maneno maneno Huwa yanaumba Kapombe sasa yule mkata kamba yako naye kaitwa stars sasa je ni wakati wa kuamini kwamba ile kamba yako ilikuwa inakatwa na yeye?
Kama kweli una uhakika kamba yako huwa inakatwa na yule kijana mliyeitwa naye stars ya sasa ni bora ukajitoa kwa maslah mapana ya club yetu Ya Simba. Maana dogo anajua ubora wako ili acheze lazima akate kwanza kamba yako halafu yeye ndiye acheze.
Nakuomba sana Simba tunakutegemea tunalofanya sasa ni kwa maslah ya nchi pia maana tukifuzu tunailetea simba heshima na Nchi heshima, pia tutaisaidia nchi kuingiza timu nne kila mwaka kitu ambacho kitafanya soka letu la Tanzania likue kwa maana tutakuwa tunapambania kwanza top 4 then ukipata top 4 kwenye champion league tunapeleka timu 2 na mbili shirikisho kitu ambacho kitaongeza kuwa na wachezaji wenye uzoefu wa mashindano ya kimataifa.
Kwako ewe dogo Mkata kamba Chonde chonde nakuomba safari hii usikate kamba ya Shomary Kapombe nakuomba sana mwache tunataka tumwone akicheza kimataifa juzi kaonyesha game safi sana na wale Mafarao al ahly. Huko ulipo ni chuo cha vipaji watakuona tena na utarudi jangwani.