Je shortlist tumani univ imetoka?

Crecent

Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
35
Reaction score
8
Habari!kama kuna mtu anataarifa zozote kuhusu shortlist ya Tumaini University branch ya Njombe anijulishe.Thanks
 
mkuu vuta subra, tupo pamoja japo mimi sikuomba hiyo nafasi ya uwarden uliyoiomba wewe!:heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…