Sabi Sanda
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 409
- 31
Wakuu,
Habari za kazi na habari za jioni.
Naomba kila mmoja wetu na kila Mtanzania apate nafasi ya kuingia kwenye tovuti ya baraza la Mitihani la Taifa www.necta.go.tz na kuangalia matokeo ya shule yake ya msingi aliyosoma na kisha kutujulisha. Angalia mkono wako wa kulia juu kwenye tovuti ya NECTA utapata matokeo hayo.
Pia itakuwa vizuri ukitujulisha idadi ya wanafunzi waliofanya mitihani na wastani wa shule yako kati ya maksi 250.
Jioni njema kwenu wote.
Modes,
Naomba title ya hii thread isomeke Shule badala ya Shuke.
Asante.