Sabi Sanda
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 409
- 31
WALIOFANYA MTIHANI : 67
WASTANI WA SHULE : 92.4328
NAFASI YA SHULE
KIWILAYA: 163 kati ya 210
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 728 kati ya 903
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 9805 kati ya 15656
WALIOFANYA MTIHANI : 49
WASTANI WA SHULE : 110.5102
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 131 kati ya 261
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 468 kati ya 920
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 4820 kati ya 15656
Asante Mkuu. Huo wastani ni wa chini sana. Ina maana katika kila somo kwa wastani kila wanafunzi wa shule yako amepata alama 36.97312 kati ya alama 100. Jitahidi mshirikiane na shule ili iweze kufanya vizuri mwakani. Jina la shule ni muhimu pia kuliweka.
Kwa miaka hiyo ya enzi za Mwalimu ilikuwa ni shule inaogopwa sasa hizi enzi zenu ndo matokeo kama haya, hakuna walimu, walimu waliopo hawana mshahara na kama upo mpaka kuufuata wilayani na nauli ya kwenda na kurudi karibu mshahara umekwisha, mazingira magumu maana uchumi wa wazazi nao ndo hivyo umeuliwa na serikali yenu hii ya CCM
[h=3]NYANZA C - P1304075
[/h] WALIOFANYA MTIHANI : 55
WASTANI WA SHULE : 121.9636
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 38 kati ya 94
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 184 kati ya 873
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 2695 kati ya 15656
nitaumiss sana mwaka wangu.... 2005!
MWANGA-KILIMANJARO
KILAWENI PRIMARY SCHOOL - P0704017
WALIOFANYA MTIHANI : 26
WASTANI WA SHULE : 144.8462
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 13 kati ya 111
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 74 kati ya 920
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 967 kati ya 15656
HONGERA SANA MADOGO ZETU,GOOOOD
[h=3]BUHEMBE PRIMARY SCHOOL - P0503031Mmi ya kwangu imekua ya 88 kitaifa kudos ngaramjini p/s..