Je sifa majina ya rika la wanyama hubadilika ?

Je sifa majina ya rika la wanyama hubadilika ?

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
NDAMA ni mtoto wa ng'ombe.
pindi inapotokea "NDAMA akawa mkubwa halafu akawa na mama yake, "JE NG'OMBE HIYO ATAITWA NDAMA AU MTOTO WA NG'OMBE '
Chukulia mfano, "wewe umezaliwa,mama yako akawa mama na wewe ukawa mtoto,pindi utapokuwa mkubwa na kupata mtoto halafu ukawa na mama yako,mama yako atakuita mtoto na watoto wako watakuita mama/baba lakini sifa yako ya kuwa mtoto kwa mama/baba yako itabaki vilevile.
"VIPI KWA NG'OMBE ?
 
Back
Top Bottom