Je Siku hizi ni Fashion Watu Kunywa Bia ya chupa ndogo?

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Habari wana jukwaa,
Ni mara nyingi sana nimekuwa nikishuhudia watu wengi kukuta wameagiza bia za chupa ndogo...

Mwanzon nilikuwa nimejiuliza labda yaweza kuwa ni bei, lkn kwasasa unakuta bei za hizo bia zinafanana kabisaaa ktk baadhi ya bar....

Yani kwasasa ktk watu 20 mmoja ndio kaagiza chupa kubwa ya bia wengine wote ndogo.....

Ni fashion? Sababu nn hasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…