Je siku za kushika mimba mwanamke zaweza kuwa ngapi kwa mwezi?

Je siku za kushika mimba mwanamke zaweza kuwa ngapi kwa mwezi?

Mtuhurumawazo

Senior Member
Joined
May 19, 2012
Posts
146
Reaction score
27
Mimi ni kijana ninaishi na mpenzi wangu ila tunaishi mikoa tofauti ila siombali sana maana kila wiki endi ninauwezo wa kwenda kumtembelea mpenzi wangu. Mnamo tarehe 30/09/2014. nilikuwa na safari ya kikazi ila njia ni moja ambayo mpenzi waangu anaishi. nilifika nyumbani na kulala ila kwa siku hiyo hatukula tunda l ndoa sababu alikuwa kwenye siku zake na huchukua muda wa siku 3. kesho yake niliendelea na safari nilikaa huko mpaka tarehe 24 ndiyo nilirudi lakini sasa ameniambia ni mja mzito mwezi wa 10 hajaona siku zake na pia huu wa 11. nilipopiga mahesabu niligundua siku zake za ovulution/kushika mimba ni kati ya Tar 16-18 mwezi wa kumi ambapo mm nilikuwa safarini. Msaada jamani nipo njia panda.
 
Back
Top Bottom