Je! Simba angekandwa ngapi angecheza na future fc

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Uchambuzi wangu

Baada ya kuona Mechi Kali ya singida na future fc ya misri na Baada ya kushuhudia pira papatu la makolo .....nimewaza sana kuwa pengine Ile future fc kama ingekuwa club bingwa na kukutana na ndugu zetu

Basi taifa lingepata aibu ya Karne ......Kwa kipa yule Kila shuti lingekuwa goli

Je unahisi wanasimba tungekandwa ngapi kama tungekutana na hawa waarabu[emoji23]

NB: makolo wangekandwa 5__0 na future fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…