Je, simba inakamiwa au ni uwezo wao kwa sasa

Kigizo jr

Member
Joined
Apr 1, 2021
Posts
12
Reaction score
9
Nimeona watu wengi wanasema kuwa simba wanakamiwa na timu ndogo kitu ambacho si kweli.
Why simba na si Yanga?

Ukweli ni kiwa simba ilishafikia peak ya mafanikio 'na wachezaji walishatumika vya kutosha ivyo hali wanayopitia simba ni kama ile walikutana nayo liverpool msimu uliopita ivyo ni lazima kwa simba kukubali kupitia kipindi cha mpito na kuandaa kikosi kipya.
 
Mchezaji yeyote anapata jina kwa kuifunga timu kubwa yenye jina.

Kwa hiyo kila mchezaji anawaza kuifunga Simba ili apate jina.

Simba lazima ikamiwe na timu zote.

Mchezaji kwa mfano akaifunga Simba kwa msimu wote basi ujue huyo anakua na nafasi ya kusajiliwa kwa dau kubwa.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Wewe mtoa maada kilaza tu. Timu zinacheza kuumiza wachezaji unasema haijakamiwa?

Utaonyeshaje ubora huku unapigwa kiwiko mara uvunjwe mguu.

Yanga nayo timu ile inayofunga kwa Chupli chupli. Yule beki wa Kagera mlimpa muamala kama kawaida yenu.
 
Kwenye ngao ya jamii nako Sumba alipokea kiasi gani ili kufungwa na Yanga?
 
Hah simba anaongoza ligi.Bad y sare ya biashara na yanga kushinda watu wakasema simba ndo basi tena na yanga wakajitangaza mabingwa.Mara paaap simba kashinda na kawa kileleni.Si ajabu akabaki hapo mpaka mwisho wa msimu
 
Alisikika kolo mmoja kutoka viunga vya Umbumbumbini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…