Pia anakua na nafasi kubwa ya kucheza dakika zote 90 kwenye kikosi chao, kiufupi anakua ni mchezaji tegemezi hata kama goli alilofunga lilikua la penaltyMchezaji yeyote anapata jina kwa kuifunga timu kubwa yenye jina.
Kwa hiyo kila mchezaji anawaza kuifunga Simba ili apate jina...
Kwani wamecheza mechi ngapi za ligi na wanatouayi ngapi na anayeongoza ligi? Naona dalili zote za topolo lililoivaNimeona watu wengi wanasema kuwa simba wanakamiwa na timu ndogo kitu ambacho si kweli.
Why simba na si Yanga?
Ukweli ni kiwa simba ilishafikia peak ya mafanikio 'na wachezaji walishatumika vya kutosha ivyo hali wanayopitia simba ni kama ile walikutana nayo liverpool msimu uliopita ivyo ni lazima kwa simba kukubali kupitia kipindi cha mpito na kuandaa kikosi kipya.
Kama kawaida yako daima mbele nyuma.....😹😹😹😹Alisikika kolo mmoja kutoka viunga vya Umbumbumbini.
Watalegeza tu hao...ngoja mechi zikolee.ligi ya msimu huu ni 15teams against Simba akyanan
Ee kashabakia hapoHah simba anaongoza ligi.Bad y sare ya biashara na yanga kushinda watu wakasema simba ndo basi tena na yanga wakajitangaza mabingwa.Mara paaap simba kashinda na kawa kileleni.Si ajabu akabaki hapo mpaka mwisho wa msimu
Simba wanavunjwa miguu unaona ule ni mpira wa kawaida walizocheza biashara na Dodoma Jiji.Nimeona watu wengi wanasema kuwa simba wanakamiwa na timu ndogo kitu ambacho si kweli.
Why simba na si Yanga?
Ukweli ni kiwa simba ilishafikia peak ya mafanikio 'na wachezaji walishatumika vya kutosha ivyo hali wanayopitia simba ni kama ile walikutana nayo liverpool msimu uliopita ivyo ni lazima kwa simba kukubali kupitia kipindi cha mpito na kuandaa kikosi kipya.
Mwamedi muhindi fake na makonda ndio waasisi wakubwa wa huo ushenzi miaka 4 iliyopitasuala siyo kukamiwa suala ni kikundi fulani cha wahuni kutembeza pesa kwenye vitimu huko ili simba wavunjwe pua na miguu
Narudia tena toeni hata milioni 500 mkitaka ila hayo maagizo ya wachezaji wa simba kurukiwa mateke as if ile ni MMA yaishe kama vipi hizo hela kakodini majambazi yavamie kambi ya simba na kuwakatakata mapanga , acheni ugaidiMwamedi muhindi fake na makonda ndio waasisi wakubwa wa huo ushenzi mwaka miaka 4 iliyopita