Je, Simba kuukosa ubingwa wa Ligi Kuu 22-2023?

Mm nampenda kibu straika mkabaji DEFENDING STRIKER.....simba akili hamna na yanga ndo top hapa bongo....tatzo la simba wanaidharau yanga lkn yanga hatuidharau simba
 
Kwani ni lazima simba kubeba ubingwa?
 
Uwezekano wa Simba kufungwa au kudroo mechi zijazo ni mkubwa ukilinganisha na Yanga. Nimemaliza nimekaa 👉👉
 
Mm nampenda kibu straika mkabaji DEFENDING STRIKER.....simba akili hamna na yanga ndo top hapa bongo....tatzo la simba wanaidharau yanga lkn yanga hatuidharau simba
Mafanikio walopata kwa bahasha bahasha ndani ya miaka minne imewapa kiburi sana wala ngada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…