Je, Simba na Yanga kucheza ili kupata timu itakayocheza na Sevilla ya Spain?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Timu ya Sevilla ya Spain itatua nchini tarehe 21/5/2019 na itacheza mechi moja dhidi ya Simba au Yanga.

Kitendawili kilichopo ni namna ya kuipata timu ya Tanzania maana Simba wanagoma kucheza na Yanga kwa sababu wana viporo vingi vya ligi lakini wanataka wao ndio wacheze na Sevilla kwa kuwa wana kikosi bora kuliko timu yoyote kwa sasa.

Yanga wanadai wao ndio wanaongoza ligi kwa sasa hivyo wanastahili kwa 100% kupewa fursa ya kucheza na Sevilla.

Tusubiri TFF itafanya maamuzi leo.

Maendeleo hayana vyama!
 
yanga anaongoza ligi au kacheza mechi nyingi ?
 
Kucheza mechi nyingi na kuongoza ligi vina uhusiano gani?? Mbona timu inayoshika mkia ina mechi nyingi lakini ipo huko ilipo? Sio kila mwenye mechi nyingi lazima awe anaongoza ligi,
tulia ndala ww hamna uwezo wa kucheza na sevilla
 
Mkuu mbona povu?!!! Jibu hoja kama ulivyosema?!! Tp mazembe amekushinda ije iwe sevilla?? Kwanza kuna faida gani ambayo hao sevilla wakija cheza hapa yanga/simba watafaidika? Kuna wazo lilikuwepo kuwa waunde timu ambayo ni combine, ya simba na yanga, ikashindikana timu moja wapo haiko tayari, soka la bongo mtaendelea hivyo hivyo, kulipeleka kihamasa hamasa!!! Na kuja na kauli mbiu mala YES WE CAN, DO OR DIE!!! AFE KIPA AFE BEKI, MALA AFON HADI KOMBE LA DUNIA!!!! Mpira ni mikakati ya muda mrefu sio ujanja ujanja!!! Ndio hayo anakuja waziri eti vijana wa serengeti boys wameangushwa na SCOUTS, kwa kuwaahidi ma milioni!!!
 
Kipigwe tu Simba vs Yanga........ hakuna namna!
 
Timu ya Sevilla ya Spain itatua nchini tarehe 21/5/2019 na itacheza mechi moja dhidi ya Simba au Yanga.

Kitendawili kilichopo ni namna ya kuipata timu ya Tanzania maana Simba wanagoma kucheza na Yanga kwa sababu wana viporo vingi vya ligi lakini wanataka wao ndio wacheze na Sevilla kwa kuwa wana kikosi bora kuliko timu yoyote kwa sasa.

Yanga wanadai wao ndio wanaongoza ligi kwa sasa hivyo wanastahili kwa 100% kupewa fursa ya kucheza na Sevilla.

Tusubiri TFF itafanya maamuzi leo.

Maendeleo hayana vyama!
Mpala tarehe hio yanga watakuwa nafaai ya pili. Watafute kisingizio kingine. Ova
 
Back
Top Bottom