Je Simba sc kuajili mtu wa scouting ni kwamba imeamua kuwa serious na kuachana na Mambo ya uswahili??

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kumekua na malalamiko kutoka kwa Mo dewj (boss wa Simba sc) akisema kuwa Simba inahujumiwa na baadhi ya watu (viongozi).

Kwamba wanapewa pesa za usajili lakini hawatimizi (hawaifikii bajeti waliyopewa) na kusababisha kuleta wachezaji chini ya viwango (low quality players).

Sasa kaajiliwa MTU wa scouting je Ina maana Mo dewji kaamua kuwa serious na kuleta mapinduzi ya furaha kwa wanadimba??

Je hao viongozi wa Simba waliokuwa wanalalamikiwa na Mo dewji kuwa wanaihujumu Simba watatoa ushirikiano kwa huyo mtu wa scouting???

Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…