Sisi wanalunyasi hatuna muda wa kujadili mambo yasiyotufurahisha.
Tutajadili tunapofurahi kama kuchukua ngao ya jamii , kushiriki super league, kutoanzia hatua za awali za klabu bingwa Afrika ongeza na mengine hatutaki kusikia habari zenye ukakasi kuhusu timu yetu pendwa mara eti tuna la kujifunza kwa utopolo , tujifunze nini huko simba ni timu kubwa tutajifunza kwa wakubwa wenzetu kwenye super league.