Wakuu Leo nimelia sana Baada ya kufuatilia record za timu zenye makombe mengi ya Ligue na kuja kugundu kuwa Simba Wana makombe = 22........lkn wababe Yanga Wana makombe = 30 ......na ligi ilianza mwaka 1964
Nmeshtuka sana Hadi ghafla nmeanza kulia [emoji24][emoji24][emoji24].......Je makolo walikuwa wapi wakati Yanga wanabeba makombe 30