dharau anazoleta ndio hatutakiii kabsa, yes amefanya makubwa simba possibly hakuna mchezaji mwenye mafanikio makubwa simba kwa upande wa professional sasa hilo asilichukulie kuwa ndio kinga yake.
alimisbehave kwa robertihno watu wakawa upande wake, leo tena anataka kutingisha kiberiti, mwambieeni hiki kiberiti cha mwamba benchikha kimejaa atatupwa nje ya mfumo. atulie amalize kandarasi yake.