Jamaa naona anapambana alambe mkataba mpya, sio mchezo.#NBCPL: Nyota wa Simba SC, Clatous Chota Chama ameshacheza mechi nne za NBC Premier League, tangu arejee kutoka kwenye michuano ya #AFCON2023 iliyofanyika nchini Ivory Coast.
Katika mechi hizo, Mwamba huyo wa Lusaka, ameshacheka na nyavu mara mbili, akifunga kwenye mchezo dhidi ya Azam FC na leo dhidi ya JKT Tanzania.
Mbali na magoli, Chama ametoa pasi mbili zilizozaa magoli. Pasi hizo alitoa kwenye mchezo dhidi ya Tabora United ambapo Simba ilishinda magoli 4-0.
Mashabiki wa kolo fc mnasemaji kuhusu Chama?
View attachment 2905695
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Chama anawaburuza makoloMajini fc mkikosa habari hatuwaoni mkiwaongelea wachazaji wenu kuongeza mkataba
Chama awachanganya majini fc msimu wa 4 huu wanamsajili kwa maneno halafu mwisho wa siku anabakia msimbazi
Hawana ujanja hawa kolo wizardKipindi kile cha Mapinduzi baada ya kumsimamisha walimponda naona leo wamekuwa wapole. Mechi mbili Chama anawabeba.
Kwa kifupi hawana kiungo mwengine ambaye mbunifu kama Chama.
Yanga ni self sufficient....Kila idaraChama awachanganya majini fc msimu wa 4 huu wanamsajili kwa maneno halafu mwisho wa siku anabakia msimbazi
[emoji23]Mbumbumbu watajaa kwa chama
Wampe mkataba mnono
Aanze kuwaletea mapicha picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kila msimu mnamsajili chama
Makolo tuna afadhari.hatujawahi kumroga mchezaji tuliyemalizana nae.
Chama hana uwezo kupata no pale uananchiniLakini kila msimu mnamsajili chama