Mimi kama mtani niseme ni ngumu kutoboa...😀😀..kama unampango wa kuweka pesa yako sehemu...piga mahesabu vizuriKlabu ya Simba Sc imepoteza michezo miwili mfululizo ya klabu bingwa Africa CAFCL, lakini wamebakiwa na michezo minne miwili ikiwa ugeni dhidi ya RAJA CA na VIPERS na nyumbani dhidi ya HOROYA na VIPERS. Unaiona Simba ikitoboa quarter final?View attachment 2524841
Hata isipovuka si jambo geni Simba kuingia robo fainali. Simba inashinda ikiamua sio kama wale wanaoahidiwa kupewa kodi/tozo zetu ili washindeKlabu ya Simba Sc imepoteza michezo miwili mfululizo ya klabu bingwa Africa CAFCL, lakini wamebakiwa na michezo minne miwili ikiwa ugeni dhidi ya RAJA CA na VIPERS na nyumbani dhidi ya HOROYA na VIPERS. Unaiona Simba ikitoboa quarter final?View attachment 2524841
Kwani ukisemaa ww ni kolo kuna shida gani, mbona hujiamini. Unadhani Kusema ww ni Yanga ndio itasaidia Makolo kushinda hizo game?Simba ajipange maana akishinda mechi moja tu atarudisha confidence ya kupata matokeo. Mimi ni yanga ila yanga sio ya kuiamini sana kutuvusha kwenye mashindano makubwa.
Wewe ni Yanga sawa, je kwenye huu uzi kuna sehemu unatakiwa ujitambulishe timu yako?Simba ajipange maana akishinda mechi moja tu atarudisha confidence ya kupata matokeo. Mimi ni yanga ila yanga sio ya kuiamini sana kutuvusha kwenye mashindano makubwa.
Vipi kama naye Horoya akakomaa mechi ya nyumbani vs Raja akashinda hata goli moja? Na dhidi ya Vipers akashinda je point 9 za Simba zitakuwa zinampeleka wapi?Simba atavuka, kimahesabu ashinde ugenini dhidi ya Vipers ashinde tena nyumbani michezo yote miwili atakuwa na alama 9 kule kwa raja akapigwe tu hakuna namna.
Kwa vyovyote Horoya atapigwa na Raja mechi ijayo kwasababu Raja watataka kujihakikishia mazingira mazuri ya kufuzu.
Mechezo mgumu na wenye mtego ni Vipers afe nyumbani mwingine Horoya akiwa nyumbani na Raja tuwaombee njaa kali sana.
Huyo ni Kolo.. hakuna kolo anayejielewa Tz hiiWewe ni Yanga sawa, je kwenye huu uzi kuna sehemu unatakiwa ujitambulishe timu yako?
Unasema Smba wanahitaji kushinda mechi ili wapate confidence, je Yanga waliokuwa tayari wameshinda mechi dhidi ya Tp Mazembe kwanini umeiponda kuvuka ilihali hiyo confidence ambayo unayozungumzia Simba waipate tayari Yanga wameshaipata na kwasasa wanashika nafasi ya pili kwenye kundi?
Horoya akishinda game zake mbili za nyumbani simba haendi kokote, shida ndio ipo hapo.Mechi inayofata Simba akishinda moja kwa moja atavuka kwenda robo.
Ni Kweli lkn kwa cheza yetu Wenda na cc safar hi tukafukaSimba ajipange maana akishinda mechi moja tu atarudisha confidence ya kupata matokeo. Mimi ni yanga ila yanga sio ya kuiamini sana kutuvusha kwenye mashindano makubwa.