Je, simu aina ya Docomo (Samsung twin sister) zinafaa kwa matumizi?

Je, simu aina ya Docomo (Samsung twin sister) zinafaa kwa matumizi?

Cecil J

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2023
Posts
434
Reaction score
1,024
Habari wanajukwaa!

Nimekutana na simu aina ya Docomo s20 5g, baada ya kuulizauliza kwa baadhi ya wadau nimeambiwa hizi simu za Docomo zinatengenezwa na kampuni ambayo hapo awali ilikuwa ikifanya kazi na kampuni ya Samsung, japo sina ushahidi wowote ila baada ya kuitumia nimeona inatumia Samsung Account na baadhi ya features za Samsung.

Kuuliza si ujinga! kwa simu hizi za Docomo kuna simu hapa au nikupigwa 100%?
 
Back
Top Bottom