Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Je simu yako imeingia maji? Inawezekana ukawa unatembea ghafla simu yako ikaingia maji uko mbali na fundi au vifaa viko mbali utafanyaje?
Okay unajua Teknolojia inazidi kukua kwa Kasi kila siku watumiaji wa simu za android na iOS wameletewa mfumo rahisi wa kuweza kuondoa maji yaliyoingia kwenye simu zao bila kufungua simu.
βοΈ Watumiaji wa android tumia app zifuatazo
β’ clear wave - water reject
β’ speaker water cleaner ejector
β’ speaker clean remove water
β’ au tembelea hii tovuti fixmyspeaker.com
βοΈ Watumiaji wa iOS sasa tumia app zifuatazo
β’ Sonic
β’ water eject shortcut
β’ clean wave iphone
Hakikisha sauti ya simu unaongeza mpaka mwisho π