Je Six packs kwa Mwanamke ni Poa ama?

Je Six packs kwa Mwanamke ni Poa ama?

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
12,001
Reaction score
27,175
Habari wakuu,
Katika harakati za kuendana na mitindo mbalimbali ya maisha kama vile kufanya mazoezi kuweka miili sawa ikiwemo kupunguza tumbo au kukaza misuli ya tumbo tumetokea baadhi ya wanawake kuwa na 'six packs' au misuli iliyokaza na kujichora tumboni.

Je mwanamke anapendeza akiwa na six packs au tumbo laini(bila kitambi)?.

NB:Hapa sizungumzii wale sportswomen ambao ni Professionals km wanamieleka nk.
4436934185fe232b22530ae77f0baaf7.jpeg
5330321ff22f9cd076a850fa516e1f22.jpeg
 

Attachments

  • 4436934185fe232b22530ae77f0baaf7.jpeg
    4436934185fe232b22530ae77f0baaf7.jpeg
    50.3 KB · Views: 68
  • 5330321ff22f9cd076a850fa516e1f22.jpeg
    5330321ff22f9cd076a850fa516e1f22.jpeg
    120.3 KB · Views: 57
Sasa Hapo pa six pack si unakuwa kama unajit**** mwenyewe
 
Mtu akiwa na six packs naona vingi.

Naona determination, focus, strong will na juhudi.

Acha wawe nazo. Wanapendeza mno.
 
Six pack za nini kwa mwanamke...yaani ukimcheki kama mwanaume mwenzako..
Dem sifa tumbo laini
 
Mi demu akiwa na kitovu kilobonyea ndani huwa nampenda sana, mana nakitumia kama kishimo cha kumwagia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Back
Top Bottom