Ufwandunkanye
Senior Member
- Jan 7, 2017
- 123
- 193
Mkuu waweza kufahamu dealer wa spares za Mercedes Benz kwa Dar anapatikana wapi?
Mkuu msaada hapo jinsi ya kuagiza, nateseka sana kununua kariakoo spare hata wiki haimalizi ishakufaSiku hizi hakuna hofu ya spea
Unatuma kadi dubai au south africa unalipa Dhl bada siku tatu unaletewa spare yako
Google dealers wa spare parts south africa na dubai utawapata wengi tuMkuu msaada hapo jinsi ya kuagiza, nateseka sana kununua kariakoo spare hata wiki haimalizi ishakufa
Kitu cha roadster
Gharama zao sasa hao DHL mmmmh!Siku hizi hakuna hofu ya spea
Unatuma kadi dubai au south africa unalipa Dhl bada siku tatu unaletewa spare yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu lini Mini cooper wako chini ya VW?
Google dealers wa spare parts south africa na dubai utawapata wengi tu
Tuma copy ya kadi part namba au jina la kifaa na picha
Watakutumia proforma invoice,ipeleke Dhl watakupa gharama zao za kuleta au kama supplier kaweka gharama za dhl vizuri pia
Walipe dhl pesa,wao watamlipa supplier na kukuletea mzigo wako
Vitu Kama hamvijui msiwe mnavitolea maelezo, Tangu lini dhl akapokea malipo ya kununua item? Dhl Ni msafirishaji tu sana sana atadai hela ya kusafirishia na hiyo utachajiwa kabla hujatuma mzigo.Google dealers wa spare parts south africa na dubai utawapata wengi tu
Tuma copy ya kadi part namba au jina la kifaa na picha
Watakutumia proforma invoice,ipeleke Dhl watakupa gharama zao za kuleta au kama supplier kaweka gharama za dhl vizuri pia
Walipe dhl pesa,wao watamlipa supplier na kukuletea mzigo wako
Tuwekee parts No. hapa tucheki boss.Natafuta spare za hammer2 wakuu msaada wenu