Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,856
- 1,793
Labda kaletwa pale TBC ili muda wa kuanza kampeni ukifika wamtumie kunogesha kampeni za JPM kwa mbwembwe zile zile za 2015 kwa Lowassa.Hajawahi kua Tbc,alikua Itv.
Naona Buhohela kamrudisha
kwa style nyingine,uchaguzi huooo.
Exactly hili ndio jibu sahihi mkuu.Labda kaletwa pale TBC ili muda wa kuanza kampeni ukifika wamtumie kunogesha kampeni za JPM kwa mbwembwe zile zile za 2015 kwa Lowassa.
Basi atakula per diems za kutosha mwaka huu.
Labda kaletwa pale TBC ili muda wa kuanza kampeni ukifika wamtumie kunogesha kampeni za JPM kwa mbwembwe zile zile za 2015 kwa Lowassa.
Jioni hii kwenye TBC aridhio nimemwona mtangazi spensa lameck akiripoti kutoka uwanja wa uhuru dar esalaam . Je, itakuwa amerudi Tbc akijiandaa kukiwasha kwenye kampeni tena kunako mwezi ujao? Picha sijapiga nilisahau kama kuna mtu ana picha atuwekee
Spenser anajua sana,wapuuzi flan walitaka kumpoteza kwenye ramani mtoto wa watuJioni hii kwenye TBC aridhio nimemwona mtangazi spensa lameck akiripoti kutoka uwanja wa uhuru Dar es Salaam . Je, itakuwa amerudi Tbc akijiandaa kukiwasha kwenye kampeni tena kunako mwezi ujao? Picha sijapiga nilisahau kama kuna mtu ana picha atuwekee
Jioni hii kwenye TBC aridhio nimemwona mtangazi Spensa Lameck akiripoti kutoka Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam . Je, itakuwa amerudi TBC akijiandaa kukiwasha kwenye kampeni tena kunako mwezi ujao? Picha sijapiga nilisahau kama kuna mtu ana picha atuwekee
Kutokana na Hali ngumu na Ukata uliopo IPP Media huku Wakikopwa tu Mishahara ya Miezi 13 Yeye na Wilberforce Ngoto wamehamia huko TBC1.
Hizi media zina shida sana.....utaona mtangazaji maarufu hadi unamtamani kumbe halipwi mishahara kwa muda mrefu.
Sahara media nako hali si shwari.
Ukitaka tu Kuona hao wa IPP Media wanavyogombea Sahani za Ugali na Maharage ya Juzi 24/7 weka Kambi hapo Maryland Hotel Mwenge ujionee.
Maryland soda tu pepsi ni buku..hawawezi kukaa pale. Sema pale kwa wamama wnaouza wali chini ya miavuli na mabanda opposite na kiwanda cha Subash.
Ndiyo hao hao akina Mama Ntilie ambao Mimi nawamaanisha sana kwani ndiyo huwa wapo hapo chini ilipo Maryland Hotel Mwenge Mkuu wangu.