NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 28
Katiba ya nchi navyoelewa kuwa Rais na Makamu wake wakiwa hawapo nchini(wamesafiri) nje ya nchi Spika ndio hukaimu nafasi ya urais hadi
mmojawapo anaporudi,
Mida hii JK yupo Libya kwenye sherehe za Ghadaffi na Makamu Dr Shein kaenda Geneva kwenye mkutano wa Hali ya hewa
Therefore Spika anakaimu???

Lakini this is quite unfair!! yaani mtu unaanzisha mada hufanyi research hata kidogo na title ya mada yenyewe iko conclusive. "Spika Sitta kukaimu nafasi ya urais" kama ulikuwa hujui si ungeuliza swali. Mods lazima mfanye kitu kuweza kufanya Jamii Forums kuendelea kuwa the Home of Great Thinkers. Katiba iko wazi, jinsi ya kukaimu kuko wazi. Ngoma Nzito anakurupuka na kuanzisha thread ambayo haina maana kabisa.
Mkuu NgomaNzito nadhani katiba ilishabadilishwa kipindi cha Mzee wa uwazi na ukweli.Atakayekuwa anakaimu ni waziri mkuu mtoto wa mkulima.
Na iwapo Waziri Mkuu atasafiri nje, kaimu rais anakuwa Jaji Mkuu, kwa mujibu wa marekebisho ya katiba. Spika anaweza kukaimu iwapo Jaji Mkuu naye hayupo nchini.
Katiba ya nchi navyoelewa kuwa Rais na Makamu wake wakiwa hawapo nchini(wamesafiri) nje ya nchi Spika ndio hukaimu nafasi ya urais hadi
mmojawapo anaporudi,
Mida hii JK yupo Libya kwenye sherehe za Ghadaffi na Makamu Dr Shein kaenda Geneva kwenye mkutano wa Hali ya hewa
Therefore Spika anakaimu???
Ngoma nzito una hoja, though umeitoa vibaya na ndio maana wenye uchungu na nchi yao wakawa wakali juu yako na kukushauri uwe unafanya research kwanza.
Nia ya kumuondoa spika wa bunge ilikuwa ni kuimarisha misingi ya utawala bora (checks and balances between the 3 pillars). Lakini pia, kuingizwa kwa PM kukaimu nafasi ya urais kwa maoni yangu kuna walakini kwa sababu PM hana mandate zenji! Hoja ipi ilifanya rais wa zenj atolewe katika nafasi ya kukaimu na PM aingizwe?
Ok, kama katiba inasema kuwa wakiwa hawapo Spika anakaimu Urais,ningemshauri Sita atumie madaraka hayo ya muda kuamuru wale mafisadi wanaotambuliwa na ambao JK ameshindwa kuwakamata kuwaweka ndani kisha JK akija awakute KEKO halafu awatoe yeye nasi tutamwelewa.
Waswahili walisema UKIKIPATA KITUMIE.
kazi ipo, ila yote kwa yote rais asiwepo, makamu wake asiwepo, PM asiwepo bado nchi itaendelea kuwa na amani