Je, Squid Game ni maisha ambayo yalikuwa kweli?

Je, Squid Game ni maisha ambayo yalikuwa kweli?

Bakalalwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
748
Reaction score
1,217
Jana zimevuja picha za mwaka 1986,

Za Jengo moja lililopo eneo moja liitwalo "No man land" huko South Korea..

Picha hizo zinaonekana kwenda kukanusha yale aliyoyasema mwandishi story ya Squid Game "Hwang Dong- Hyuk". Je, unajua ni picha gani, na ni maneno gani hayo?

Endelea👇

Screenshot_20250107-203337.jpg


Mwandishi wa Squid Game, Bwana Hwang Dong-Hyuk

Aliulizwa,

Je Squid Game, Inatokana na story ya maisha ya kweli?

Mwamba alikanusha na kusema kuwa, hapana.
20250107_204442.jpg


Story hii haijatokana na Maisha ya kweli bali, mambo yaliyondani yanatafsiri maisha ambayo watu wanaishi
Pia akaenda mbali zaidi na kusema kuwa Story hii ameiandaa na Game hizi ameziandaa, na kupata Idea baada ya kuangalia Katuni za kijapani, kwa miaka mingi..

20250107_204607.jpg


Sasa jana, Jumatatu ya tarehe 6, Jan 2025,

zimevuja Picha za Jengo moja, la mwaka 1986, huko la huko South Korea, sehemu iitwayo "No mans Land"

Ambapo Inasemekana kuwa humo ndani watoto na watu wazima walikuwa wakichukuliwa na kufanyishwa kazi, na kama wakikataa watu hao

20250107_204703.jpg
Walikuwa wakiuawa kikatili..

Ukiangalia Picha hizo za majengo, Rangi za nguo walizovaa hao watu,

Pamoja na Rangi ya Majengo hayo ni ile ile na inafanana sana na Mwonekano wa Squid Game..
20250107_204746.jpg


Mpaka sasa tunashindwa kuelewa, je nani anaongea ukweli na nani ni muongo?

Tusubiri...

Muda utaelezea yote..

Asante kwa kuusoma huu uzi mpaka mwisho

20250107_204826.jpg
 
Mie naona kama itakuwa conspiracy theory maana nakumbuka somo la Comparative politics tulisoma kuhusu No man's land ya South Korea na hii ni eneo ambalo kwa makubaliano ya Korea kusini na Kaskazini kwamba hakutakuwa na shughuli zozote za kijeshi yaani Demilitarized Zone
 
Daah.? hata hivyo mkuu nakushauri
ubadilishe id yako maana nilivyoitafsiri
mimi!
 
Back
Top Bottom